Mafunzo kwa Kamati ya Usimamizi SACCOS

Mafunzo kwa Kamati ya Usimamizi (SACCOS)

Mafunzo yalianza tarehe 13 May, 2019 hadi 16 May 2019

Mafunzo yalifanyikia katika ukumbi wa LAPF Dodoma.

Mahudhurio ni wajumbe 5 wa Kamati za Usimamizi (PCCB SACCOS wajumbe 3 na ST.JOHN SACCOS wajumbe 2)

Mada walizofundishwa ni:

1. Sheria na Kanuni za Ushirika
2. Uongozi na Utawala wa SACCOS
3. Makisio ya mapato na matumizi
4. Mtiririko wa fedha
5. Udhibiti wa ndani katika SACCOS
6. Utoaji na usimamizi wa mikopo
7. Mmaeneo ya ukaguzi
8. Mtaji wa SACCOS
9. Namna ya kuendesha ukaguzi
10. Kuandaa taarifa ya ukaguzi
11. Kutengeneza mpango kazi

Washiriki walikabidhiwa vyeti vya kushiriki na Mkurugenzi wa RCCL

Please publish modules in offcanvas position.